
Juu
na chini ni Waziri wa fedha na Uchumi wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. William Mgimwa akilakiwa na Balozi wa Tanzania nchini
Marekani na Mexico, Mhe. Liberata Mulamula mara tu alipowasili leo
Jumamosi Oct 5, 2013 kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles
uliopo Sterling, Virginia. Mhe. Mgimwa anaongoza ujumbe wa Tanzania
kuhudhuria mikutano ya mwaka ya Benki ya Dunia inayoanza Jumatatu Oct 7
hadi 12, 2013 Washington, DC





0 comments:
Post a Comment