Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu kiongozi wa kambi ya
upinzani Bungeni Mh.Freeman Mbowe ikulu jijini Dar es Salaam leo.Nyuma
kushoto ni Kiongozi wa NCCR Mageuzi James Mbatia na Professa Ibrahim
Lipumba wa CUF.
Rais Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na Mhe.Tundu Lissu CHADEMA Nyuma ni Mhe.James Mbatia NCCR Mageuzi
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mzungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa ikulu jijini Dar es Salaam leo
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi wa
Vyama vya upinzani muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo kuhusu rasimu
ya katiba ikulu jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha kutoka kushoto
Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR Mageuzi, Professa Ibrahim Lipumba
CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip Mangula CCM, na Bibi Nancy Mrikaria
aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mhe.Agustine Lyatonga Mrema.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Vyama vya upinzani na
wasaidizi wao waandamizi muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo kuhusu
rasimu ya katika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Kutoka kushoto mbele
Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR Mageuzi, Professa Ibrahim Lipumba
CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip Mangula CCM, na Bibi Nancy Mrikaria
aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mhe.Agustine Lyatonga
Mrema.Waliosimama Nyuma kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu CUF Bwana
Julius Mtatiro,Mhe. Tundu Lissu CHADEMA, Bwana Martin Mng’ong’o NCCR
Mageuzi ,Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge
William Lukuvi, Mhe.Habib Mnyaa CUF, Mbunge wa Ubungo Kwa tiketi ya
CHADEMA Mhe.John Mnyika, Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na
Uratibu Mhe.Steven Wassira na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Mathias
Chikawe.
Picha na Freddy Maro-IKULU
0 comments:
Post a Comment