Mwanasiasa na kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter
Kisumo ameonya kuwa chama hicho kinaweza kuondolewa madarakani kutokana
na kunyamazia vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za
umma vinavyotokea nchini.
Mzee Kisumo alitoa onyo hilo wiki iliyopita katika
mazungumzo maalumu aliyofanya na Mwananchi nyumbani kwake Dar es Salaam
kuhusu kumbukumbu ya miaka 14 ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere
inayoadhimishwa leo.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea.......
0 comments:
Post a Comment