Marehemu Lilian Naburi
Familia
ya Mzee Geofrey Naburi wa Nguvumali Tanga inatangaza kifo cha Binti yao
Mpendwa Lilian Naburi kilichotokea Arusha Jumatano ya tarehe
18/09/2013. Mazishi yanategemewa kufanyika Jijini Tanga siku ya Jumatatu
ya tarehe 23/09/2013 katika makaburi ya Bombo.
Kwa mawasiliano zaidi unaweza ukawasiliana na kaka wa marehemu
Ndugu Ben Naburi kwa namba ya simu +255 713 563003
Blog hii inaungana na familia katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
0 comments:
Post a Comment