Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, jana katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo.
(PICHA NA IKULU).
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali
Rais Mstaafu Wa Awamu Tatu Mh. Benjamin William Mkapa
Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim
Mh. Joseph Warioba naye akishiriki katika mazishi hayo.
Waombolezaji Wakiendelea Na Maziko.
Masheikh Wakizungumza Jambo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Rais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kianana wakiungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Jana.
Sheikh Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete Akisalimiana Na Mmoja Kati Ya Waombolezaji.
Wakati Wa Dua Ulipofika.
0 comments:
Post a Comment