SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, May 21, 2013

NSSF YASHINDA KOMBE KATIKA MAONESHO YA KIBIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI TANGA

Mrs Eunice Chiume, Meneja Kiongozi wa Uhusiano na huduma kwa Wateja mara baada ya kukabidhiwa Kikombe cha Ushindi wa Kwanza katika kundi la Utoaji Huduma Kwa Jamii, Kutoka kwa Mhe. Dr. Abdallah Kigoda, Waziri wa Viwanda na Biashara katika Maonyesho ya Kibiashara Ya Kimataifa ya Tanga, mjini Tanga.
 Baadhi ya watu waliofika katika banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakipata huduma mbalimbali za zinazotolewa na Shirika hilo.
 Huduma za Afya zikitolewa.
Ofisa Mwandamizi Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Theopista Muheta akitoa maelezo kwa wakazi wa jiji la Tanga waliofika katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Tangamano 
 Meneja Kiongozi Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume, akitoa maelezo kuhusu shughuli za NSSF kwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dk. Abdallah Kigoda,alipotembelea banda la NSSF katika Maonyesho ya Kibiashara Ya Kimataifa yanayofanyika jijini Tanga.
Meneja  Kiongozi  Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),  Eunice Chiume (kushoto) akitoa maelezo juu ya huduma za shirika hilo wakati  wa maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika kwenye viwanja vya Tangamano jijini Tanga.
HABARI NA MACHUZI MATUKIO

0 comments:

Post a Comment