Mbunge wa jimbo la Iringa mjini-Chadema mchungaji Peter Msigwa akiwasili eneo la vurugu kabla ya kuanza kwa vurugu hizo
Mbunge wa Iringa Mjini-Chadema Mch Msigwa akiondoka eneo la mashine tatu
Kikosi Cha Kutiliza Ghasia FFU Mkoani Iringa kikiwasili
Hali ikiendelea kuwa tete kwa machinga kufunga barabara kuu ya Iringa Dodoma na ile ya mashine tatu
Ni Machafuko Iringa hivi leo
Mmiliki wa mtandao huu mzee wa matukio daima akinawa maji baada ya kupigwa bomu la machozi
Abiria na wapiga debe stendi kuu wakinawa maji baada ya kupigwa mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha na askari wa FFU leo.
Picha na Abdalah Hamis
CREDIT TO H@KI NGOWI
CREDIT TO H@KI NGOWI




0 comments:
Post a Comment