Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Mazrui, akitoka katika eneo la tukio jana usiku.
Vijana wa Red Cross wakiwa katika bandari ya Malindu wakisubiri majeruhi na maiti wa ajali ya boti ya abiria.
Boti ya Kampuni ya Azam Marine ikiwasili katika bandari ya Malindi ikiwa na baadhi ya abiria waliookolewa
Madakatari wa Hospitali Kuu ya Taifa ya Mnazi Mmoja wakitowa huduma kwa majeruhi waliofikishwa hospitalini hapo kwa uchunguzi zaida.
Majeruhi wa ajali ya Boti kutoka nje ya Nchi ambao ni watalii waliokuwa wakija Zanzibar kutembea kwa ajili ya Utalii wakiwasili katika hospital kuu ya Mnazi Mmoja kwa kupata huduma zaidi wakisaidiwa na wahudumu wa huspitali hiyo
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na Daktari bingwa wa kufanya uchunguzi wa maiti wa ajali kupitia uchunguzi wa kuchukua vinasaba DNA, Dk. Ahmed Makata, Makamu alipotembelea eneo maalum la kuwekea miili ya maiti wa ajali ya Boti katika viwanja maisara.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis akiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisa Tanzania Said Mwema alipofika viwanja vya maisara kuangalia shughuli za utambuzi wa maiti zinavyoendelea jana usiku.
HABARI, PICHA NA OTHMAN MAPARA BLOG
0 comments:
Post a Comment