SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, July 19, 2012

MAAFA YA MELI NEW UPDATE


Taarifa zilizotufikia hivi sasa kutoka  Maisara ni kwamba tayari miili mitatu imeopolewa hivi asubuhi na hivyo kufikisha idadi ya waliofariki kufikia 33.

Jitihada zinaendelea kutafuta waliobakia. Meli ilikuwa na abiria 248 na wafanyakazi tisa kwa mujibu wa Manifesto ingawa maelezo ya wasafiri walionusurika wanasema idadi hiyo ni ndogo.

Raia mmoja wa kigeni ambaye bado hajatambulika utaifa wake pia ni miongoni mwa waliofariki katika ajali hii.

Tutawajuulisha zaidi
CREDIT TO OTHMAN MAPARA BLOG

0 comments:

Post a Comment