Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Korea Kusini Nchini, Bw. Young Hoon Kim baada ya kufungua Chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA) mkoa wa Pwani kwenye eneo la Kongowe Machi 21, 2012,. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitazama chombo wanachotumia wanachuo kujifunza matengenezo ya umeme wa magari wakati alipofungua chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA) cha mkoa wa Pwani kenye eneo la Kongowe , Kbaha, Machi 21 ,2012, Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment