SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, February 27, 2012

ALLAN LUCKY (a.k.a SKONGA) NA HAIKA SAMWELI HATIMAYE WAMEKUWA MWILI MMOJA.

Bwana na Bibi Allan Lucky Komba.

Gari lililombeba Bibi Harusi likiwasili ukumbini.
Maids na Bwana Harusi wakiwasili ukumbini tayari kwa ibada ya ndoa.
Maids katika pozi.
Bwana Harusi na mpambe wake wakiongozwa na warembo kuingia ukumbi tayari kwa ibada ya ndoa.
Bwana Harusi na mpambe wake wakisubiri kuwasili kwa Bibi Harusi.
Bibi Harusi Haika Samwel akishuka kwenye gari.
Bibi Harusi Haika Samweli akisindikizwa na Mama yake mzazi kuingia ukumbini.
Bwana Harusi akitoa tabasamu bashasha kwa mkewe baada ya kuwasili ukumbini.
Maharusi na wapambe wao wakiwa kwenye ibada ya ndoa.
Bw. Mnyavano kutoka ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kinondoni akizungumza wakati wa kufungisha ndoa.
Bwana Harusi Allan Lucky Komba akila kiapo cha ndoa.
Bibi Harusi Haika Samweli akila kiapo cha ndoa.
Put a ring on it Allan.…Bwana Harusi akimvisha pete mkewe.
Bibi Harusi naye akifanya vivyo hivyo kwa mumewe
Duuuuh Siamini kama amekuwa wangu…..!!! Maharusi wakitafakari jambo.
Bibi harusi naye akianguka wino kwenye gamba.
Bwana harusi akianguka saini.
Mpambe wa Bwana Harusi Banana Zoro akitia wino.
Mpambe wa Bibi Harusi naye akifanya vivyo hivyo
Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada ya ndoa.
Sasa ni mwili mmoja.
Maids wakila pozi na Bwana harusi.
Bibi Harusi akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wa Bwana Harusi.
Wazazi wa Bibi Harusi (kushoto) pamoja na Mama Mkwe.
Familia Bwana Harusi na Maharusi.
Picha, Habari Na Zainul Ali Mzige wa Mo-Blog
BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment