Waziri Mkuu na Mweneyekiti wa Semina Mhe. Mizengo Pinda akifungua semina ya mchakato wa marakebisho ya Katiba Mpya mjini Dodoma jumamosi
Prof Palamagamba Kabudi wa Chuo Kikuu Dar es salaam amewataka wadau wote wa katiba Mpya kuweka maslahi ya Taifa mbele kipindi hiki cha mchakato wa Katiba Mpya. Prof. kabudi amesema ikumbukwe kwamba sote tutakufa lakini Tanzania itabaki. Alikuwa akiendesha semina ya marekebisho ya katiba mpya mjini Dodoma juzi
Mhe Mbunge wa CCM Ole sendeka akisoma vifungu vya katiba iliyopo
Mbunge was Chadema Mhe. Tundu Lisu akichangia katika semina hiyo
Wajumbe wa semina wakimsikiliza Prof Kabudi Juzi Mjini Dodoma.
Picha na Prosper Minja-BUNGE
0 comments:
Post a Comment