Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipokea risala kutoka mwanafunzi Ali
Omar Ali,kwa niaba ya wanafunzi bora wa kidato cha nne na
sita,waliofanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka
2010-2011,alipowapongeza ikulu Mjini Zanzibar jana
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akitoa zawadi kwa mwanafunzi Mahmoud Idrisa Abeid,wa kidato cha
nne,Skuli ya sekondari ya Lumumba, kati ya wanafunzi waliofanya vizuri
katika masomo yao,ya mwaka 2010-2011 katika hafla iliyofanyika Ikulu
Mjini Zanzibar jana
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akitoa zawadi kwa mwanafunzi Ali Hemed Ali,wa kidato cha
sita,Skuli ya Utaani Pemba,(Mombasa) kati ya wanafunzi waliofanya
vizuri zaidi, mwaka 2010-2011 Hafla ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar
jana
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akitoa zawadi kwa Mwanaidi Makame Ali,wa kidato cha sita,Skuli ya
Biashara,(Mombasa) kati ya wanafunzi waliofanya vizuri zaidi,mwaka
2010-2011 Hafla ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akizungumza na walimu na wanafunzi bora wa kidato cha nne na
sita,waliofanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka
2010-2011,alipowapongeza ikulu Mjini Zanzibar jana
aadhi
ya walimu waliohudhuria katika hafla ya kuwapongeza wanafunzi
waliofaulu vizuri katika masomo yao kwa mwaka 2010-2011,wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, alipozumza na wanafunzi hao
Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi
ya wanafunzi bora wa kidato cha nne na sita,waliofanya vizuri katika
masomo yao kwa mwaka 2010-2011,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar,Dk Ali
Mohamed Shein,alipozungumza nao katika hafla ya kuwapongeza kutokana na
kufaulu vizuri katika mitihani yao,huko Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Picha
na Ramadhan Othman Ikulu- Zanzibar
0 comments:
Post a Comment