Mabalozi wakiangalia meza ambayo ilivunjwa wakati akiuawa kwa risasi Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume.
Kiongozi
wa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini,Juma Mpango, akisoma dua
kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume,
mabalozi walipotembelea kaburi hilo jana
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akiweka
shada la maua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, marehemu
Abeid Amani Karume, eneo la Kisiwandui, Zanzibar.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati
waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mabalozi
wanaoziwakilisha nchi zao nchini, pamoja na mtoto wa hayati Karume,
Balozi Ali Karume (kulia waliokaa).
Picha hiyo walipiga katika lango la
kaburi la Karume, mjini Zanzibar jana.
Picha zote na Tagie Mwakawago na
Assah Mwambene
0 comments:
Post a Comment