Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifunua kitambaa kuzindua jiwe la msingi la Kituo cha kulelea watoto
Yatima na waishio katika mazingira magumu cha Full Gospel Children’s
Home, kilichopo Msongola Wilaya ya Ilala Dar es Salaam. Hafla hiyo ya
uzinduzi wa kituo hicho ulifanyika leo Oktoba 13, 2011
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Kituo cha
kulelea watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home, kilichOpo
Msongola Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo oktoba 13
Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu, akisoma
hotuba yake wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa Kituo cha kulelea
watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home, kilichpo Msongola Wilaya
ya Ilala Dar es Salaam leo oktoba 13.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikata utepe kuzindua rasmi Kituo cha kulelea watoto Yatima na waishio
katika mazingira magumu cha Full Gospel Children’s Home, kilichopo Msongola Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam leo Oktoba 13, 2011
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu, wakikagua
baadhi ya vyumba vya Kituo cha kulelea watoto Yatima cha Full Gospel
Children’s Home, baada ya kuzinduliwa kwa kituo hicho kilichopo
Msongola Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo Oktoba 13.
Baadhi
ya watoto wakitoa burudani ya kuigiza maisha ya watoto waishio katika
mazingira magumu, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha kulelea
watoto Yatima cha Full Gospel Children’s Home kilichopo Msongola Wilaya
ya Ilala, jijini Dar es Salaan leo Oktoba 13.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Kituo cha kulelea watoto
Yatima cha Full Gospel Children’s Home, kilichopo Msongola wilaya ya
Ilala, baadha ya kuzinduliwa kwa kituo hicho leo Oktoba 13.
Picha na
Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu Wa Rais
0 comments:
Post a Comment