Star Tv na Urban Pulse wanakuletea mahojiano kutoka kwa wadau
waishio nchini Uingereza kuhusu mtazamo wao wa kumuenzi baba yetu wa
Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyeyere tukielekea katika siku ya
Nyerere Day. Mahojiano haya yaliwashirikikisha wadau wa UK Kuanzia
Mwenyekiti wa CCM Maina Owino, Francia Chengula na Mr Singo.
Monday, October 10, 2011
KUMBUKUMBU ZA BABA WA TAIFA MWL. JULIUS NYERERE (URBAN PULSE)
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Monday, October 10, 2011
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment