SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, October 10, 2011

NYUMBA YA JAMBAZI SUGU YAVUNJWA MKOANI IRINGA!!!

 
Baadhi ya mali zilizokutwa ndani ya nyumba hiyo.
 
Wananchi wakifukua mali zilizokuwa zimefichwa shimoni na jambazi hilo.
Wananchi  wa  eneo la Mawelewele katika Manispaa ya Iringa  leo asubuhi wamevamia nyumba ya Bw. Msafiri Ilomo ambaye anadaiwa kuwa ni jambazi akihusishwa na vitendo vya kupiga nondo watu na kupora mali zao.  Vile vile Msafiri pamoja na kundi lake wanadaiwa kuhusika na mauaji ya watu kadhaa wa eneo hilo.
 
Vitu mbalimbali vilivyokuwa shimoni humo.
 
Zoezi la kufukua mali likiendelea.
Picha na Francis Godwin.

0 comments:

Post a Comment