SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, September 8, 2011

Mkutano wa 20 wa Bodi ya Magavana wa Afrika(ACBF)mjini Arusha

Kamishna wa Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha Ngosha Said Magonya akitoa maoni kuhusu viashiria vya kimaendeleo vya Afrika kwenye Mkutano wa 20 wa Bodi ya Magavana ulianza jana mjini Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Afrika (ACBF) na pia aliyewahi kuwa Balozi wa Sweden nchini Tanzania Sten Rylander(kushoto) akiwa na Kamishna wa Fedha za Nje wa Tanzania Ngosha Said Magonya(wa pili kushoto), Waziri Mkuu Mstaafu wa Mauritania Zeine Ould Zeidane(wa pili kushoto ) na Katibu Mtendaji wa ACBF Dkt Franniel Leautier(kulia) wakati wa mkutano wa 20 wa Bodi ya Magavana wa Afrika(ACBF) jana mjini Arusha. 
Picha Na Vicent Tiganya, MAELEZO.

0 comments:

Post a Comment