SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, September 7, 2011

Mchezaji Nazir Khalfan Atinga Ikulu Kumshukuru Rais Jakaya Kikwete na Kumkabidhi Jezi

 Mtanzania anaecheza Soko la Kulipwa katika timu ya White Caps ya Jijini Vancour Canada Nizar Khalfan akimkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Jakaya Kikwete jezi ya timu anayoichezea wakati alipokwenda kumsalimu na Kumshukuru Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar Es Salaam.
Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

Post a Comment