"Nenda salama ndugu yangu nakutakia maisha mema" ndivyo anaonekana Bwana Kevin akisema.
Kutoka kulia ni Mohamed Best(Almaarufu), Ally(24 Seven 365 Blog), Jamil na Ally Muhsin.
Mohamed Khamis(Mwanalibeneke Urary95.blogspot.com/) flana ya njano kushoto.
Mohamed akiwa na Kevin katika kuweka kumbukumbu.
Kulia Bwana Mohamed, Bi Neema na Bwana Nasibu.
Nasibu (aka Nass Jr.) akiwa na Bi Neema
Hapa ni kuashiria Furaha "Mambo Mazuri narejea Nyumbani".
Bwana Kevin anaonekana akimweleza jambo muhimu Bwana Mohamed.
Mohamed akiwa Ally.
Mohamed akiwa Jamil.
HABARI NA PICHA KWA HISANI YA 24 SEVEN 365.
0 comments:
Post a Comment