SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, August 17, 2011

Kutoka Bungeni Mjini Dodoma

WAZIRI WA HABARI , VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO, DK. EMMANUEL NCHIMBI WA NNE(KUSHOTO)AKIWANA NAIBU WAZIRI WA UJENZI ,DK HARRISON MWAKYEMBE WA TATU(KUSHOTO)PAMOJA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,BALOZI KHAMIS KAGASHEKI WANNE KUTOKA (KULIA)WAKIWA NA WANAFUNZI WA THE CENTRAL HIGH SECONDARY DODOMA.
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, EZEKIEL MAIGE AMBAYE ANATARAJIWA KUWASILISHA MAKADIRIO YA BAJETI YAKE YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YAKE KWA MWAKA WA FEDHA WA 2011/2012 BUNGENI KESHO (KULIA) AKIJADILINA JAMBO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE JANA NA MBUNGE WA SIMANJIRO, CHRISTOPHER OLE- SENDEKA KATIKATI NA MBUNGE WA VITI MAALUM, MARY MWANJELWA (KUSHOTO).
WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI, PROFESA ANNA TIBAIJUKA (KULIA )AKIPONGEZWA NA MBUNGE WA KIBAHA MJINI, SILYVESTRY KOKA(KUSHOTO) MARA BAADA YA BAJETI YA WIZARA YAKE KUPITISHWA JANA JIONI NA BUNGE.PICHA NA MAGRETH KINABO-MAELEZO

0 comments:

Post a Comment