Kwa niaba ya timu nzima ya 24SEVEN365 ,Napenda kuchukua nafasi hii kwanza kutoa shukrani za dhati kwa ushirikiano wenu mnaotupa katika kipindi chote hiki na naomba tuzidi kushirikiana kwa hili na lile maana bila nyie sisi hapa hatuwezi kuwepo.Pili napenda kukutakieni kila la kheri katika wakati huu wa kusheherekea sikukuu ya Christmas na Mwaka mpya ni vyema kutumia sikukuu hizi kuwa karibu na Familia,Ndugu ,Jamaa na Marafiki kwa kuwa pamoja kupongezana na kusherehekea kwa salama na amani, na pia kutafakari yale yote ambayo tumeyafanya katika kipindi cha mwaka mzima na nini tunatarajia kufanya mwaka ujao.Mungu atujaalie tuuone mwaka mwingine na mambo yetu ayaongoze yaende vyema.
HAPPY CHRISTMASS HAPPY NEW YEAR
GOD BLESS YOU ALL, AMIN.
GOD BLESS YOU ALL, AMIN.
0 comments:
Post a Comment