MGOMBEA URAIS WA NCCRA MAGEUZI ACHUKUA FOMU TUME YA UCHAGUZI
Mgombea urais kupitia chama cha NCCR Mageuzi Bw. Hashim Spunda Rungwe
akipokea fomu za kugombe urais kupitia chama hicho kutoka kwa
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Lewis Makame wakati alipochukua
fomu hizo katika ofisi za Tume ya Uchaguzi jijini Dar es salaam leo,
Katikati anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Tume hiyo Bw. Rajab Kiravu
Mgombea urais kupitia chama cha NCCR Mageuzi Bw. Hashim Spunda Rungwe
akisaina fomu zake za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia NCCR Mageuzi mara baada ya kuchukua katika ofisi za Tume ya
Uchaguzi leo kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Rajabu Kiravu.
0 comments:
Post a Comment