Kama
unavyoona pale ukutani utambulisho wa show ulikuwa hivi, sho yao ilikuwa
nzuri na inaonyesha jamaa walijipanga sana.
Show ya mwisho au wimbo wa mwisho ulikuwa ni RMX ya wimbo wa Mkono juu ambao wameimba Chege, Temba, Wahuu na Godzilla.
SHOW YA UFUNGUZI ILIKUWA HII.
B12
kutoka XXL ya Clouds FM ndiye aliyekuwa MC wa show hii ya Uzinduzi wa Chege na
Temba pale Club Sun Cirro.
Kijana
Michael Ross kutoka Uganda ndiye aliyefungua show ya pili baada
Godzilla, huyu jamaa bwana anajiandaa sana maana show aliyopiga pale
jana ilikuwa matata.
0 comments:
Post a Comment