Pichani ni mwanaharakati wa blog hii akilipa malipo ya Auto(Oto) kama jinsi wenyeji wanavyoita usafiri huu.
Ni moja kati ya usafiri unaotumiwa sana na watu wengi hapa India, usafiri huu ni rahisi popote uendapo kwa gharama nafuu.Kuna kifaa maalum (Mita) inaonyesha umbali na kiasi cha pesa unachotakiwa kulipa.
Haya ni maeneo ya Mehdi-Patnam(Hyderabad).
Imetayarishwa na Ally Shaaban Mgido's.
0 comments:
Post a Comment