SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, July 4, 2014

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA MWANA WA MFALME WA JAPAN

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na  Mwana Mfalmewa Japani Prince Akishino  alipowasili Ikulu mjini Zanzibar leo akifuatana na Mkewe Princess Akishino na baadae kufanya mazungumzo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongozana na  na Mwana Mfalmewa Japani Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino mara walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuonesha kitu  Mwana Mfalmewa Japani Prince Akishino  baada ya mazungumzo yao  alipotembelea Ikulu Mjini Zanzibar leo na Mkewe Princess Akishino.

0 comments:

Post a Comment