SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, July 7, 2014

RAIS KIKWETE AWA KIVUTIO MAONYESHO YA SABASABA, WANANCHI WASITISHA SHOPING WAJUMUIKA NAYE

view-source:https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEheIF6u_RcXmG-tOUjhMsW8UPE3HgUE8TAiT8PVsr2un7VsGWsN81TTjUX3ZOaXhfqcKFPcAszsWHBP8vaYHovk6PQqsOS4RiGCBJBzqJ2xMEBswS4Qdyy1dJGmuPFAF6-qNHveO0X3hFg/s1600/a6.jpg
Baadhi ya Wananchi wakisongamana kumpa mkono Rais Kikwete, wakati akiwa katika viwanja vya Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam, jana.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Jumapili Julai 6, 2014 alitembelea kwa mara ya pili maonesho ya kimataifa ya bishara katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, baada ya ratiba yake kutokamilika katika ziara yake aliyoifanya  siku ya Jumamosi kutokana na muda. 
Na kama ilivyo ada wananchi walifurahi kuwa naye karibu kama ambavyo yeye pia alifurahi kujumuika nao kwenye maonesho hayo ya kila mwaka. Watoto ndio waliokuwa wakimvutia zaidi Rais Kikwete ambapo kila mara alisimama na kuwasalimia. 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Jumapili Julai 6, 2014 alitembelea kwa mara ya pili maonesho ya kimataifa ya bishara katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, baada ya ratiba yake kutokamilika katika ziara yake aliyoifanya  siku ya Jumamosi kutokana na muda. Na kama ilivyo ada wananchi walifurahi kuwa naye karibu kama ambavyo yeye pia alifurahi kujumuika nao kwenye maonesho hayo ya kila mwaka. Watoto ndio waliokuwa wakimvutia zaidi Rais Kikwete ambapo kila mara alisimama na kuwasalimia.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj3xGWIJXR9j3lU48PrZzKLNxOlSBbcy00LW-GWATY5ivuVTS_zKXKbAnjQbr1ZwAVtyxmI4ghXZA7fXttwGu0gBUExQmahS3sApoIvMKBhVBJL9_2Ry4e7sTpp1g-82d-YHWrHQltpdHc/s1600/a3.jpg 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteta na watoto aliokutana nao Sabasaba.
 Rais Kikwete, akiondoka kwenye Viwanja vya Sabasaba jana. 
PICHA NA IKULU

0 comments:

Post a Comment