Waziri
wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb)
akiwasili kwenye banda la Makampuni ya MeTL GROUP na kulakiwa na
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji (wa pili
kushoto). Kulia ni Meneja Masoko Msaidizi wa MeTL Group, Bw. Aunali
Bandali na Kushoto ni Afisa Mauzo wa MeTL GROUP, Yusuf Sadiq.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).
Waziri
wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb)
akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Makampuni ya MeTL GROUP
linalotoa huduma za bidhaa mbalimbali zikiwemo Soda, Unga, Mafuta ya
kupikia, Sabuni za kufulia na Sabuni za kuogea na vingine vingi.
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akisaini kitabu cha wageni
kwenye banda la Makampuni ya MeTL Group huku Mkurugenzi wa Masoko wa
Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer akishuhudia tukio hilo
kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam
yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere,
barabara ya Kilwa, jijini Dar.
Mkurugenzi
wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer akimwonyesha
kinywaji kipya cha “MO Bomba” (Energy Drink)inayozalishwa na Aone
kampuni mama ya vimiminika ya MeTL GROUP, Waziri wa Maendeleo ya Mifugo
na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) aliyetembelea banda hilo
kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam
yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere,
barabara ya Kilwa, jijini Dar.
Mkurugenzi
wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer akimkabidhi
zawadi ya Vitenge na Khanga
vinavyozalishwa na kiwanda cha 21st CENTURY Textile Ltd chini ya Makampuni ya MeTL GROUP alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
vinavyozalishwa na kiwanda cha 21st CENTURY Textile Ltd chini ya Makampuni ya MeTL GROUP alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
Mdhibiti
ubora idara ya sabuni za kampuni ya MeTL GROUP, Cuthbert Sangiwa Msuya
akitoa maelezo ya utengezaji wa sabuni na vipodozi vya kampuni hiyo kwa
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani
(Mb) ( wa tatu kulia)alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya 38 ya
Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya
Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Wa pili kulia ni
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer.
Umati
wa wakazi wa jiji la Dar wakimiminika kujipatia mahitaji maalum kwenye
banda la makampuni ya METL kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya
Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya maonesho vya
Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
Mkurugenzi
wa Masoko wa kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer akipozi na
mtoto aliyenunua kinywaji cha MO Malt kinachotengenezwa na kiwanda cha
AOne chini ya kampuni ya MeTL GROUP.
Meneja
Masoko Msaidizi wa MeTL Group, Bw. Aunali Bandali (Katikati) akitoa
maelezo ya Baiskeli bora na imara za NABICO zinazotengenezwa na kampuni
MeTL GROUP kwa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus
Mlengeya Kamani (Mb) aliyembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho
ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika
viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar. Kulia
ni Msimamizi wa mauzo kwenye la maonyesho ya sabasaba la MeTL GROUP,
Jumanne Kisawaga.
Waziri
wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb)
akiteta jambo na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema
Dewji- Jaffer (kushoto) wakati akikagua Matrekta ya MeTL AGRO na zana
bora za Kilimo zikiwemo Mbolea kwenye banda la makampuni ya MeTL GROUP
hiyo kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam
yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya
Kilwa, jijini Dar. Wa pili kulia ni Meneja Masoko Msaidizi wa MeTL
Group, Bw. Aunali Bandali.
Mkurugenzi
wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji- Jaffer akifafanua
jambo kwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid wakati
alipotembelea banda la kampuni hiyo jana jijini Dar.
Msaidizi
wa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL Group, Kelvin Msangi
akiagana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid mara
baada ya kumaliza ziara ya kutembelea banda la kampuni hiyo.
Mkurugenzi
wa Masoko wa Makampuni ya MeTL “The People’s Brand”, Fatema Dewji-
Jaffer akiwa (wa pili kushoto) kwenye picha ya pamoja na baadhi ya
wafanyakazi wa makampuni hayo ndani banda lao la maonesho ya 38 ya
Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya
Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
Wafanyakazi
wa wa Royal Soap Detergent Industries Zuhura Mwachuma na Aneth Masesa
wakionyesha wateja bidhaa zao za sabuni ya unga waliofika kwenye banda
la kampuni ya MeTL kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya
Dar-es-salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere,
barabara ya Kilwa, jijini Dar.
Mtaalamu
wa kutembea juu kamba nchini Hassan Mkenjula a.k.a SPIDERMAN akitembea
juu kamba huku akijiandaa kuvaa T-Shirt juu ya kamba hiyo huku umati wa
watu ukishuhudia burudani hiyo…..Burudani hiyo ipo hapo siku zote za
maonyesho ya Sabasaba mletee mtoto wako na familia waje kushuhudia
burudani ya bure kabisa huku mkijipatia mahitaji mbalimbali kwenye banda
la MeTL Group.
0 comments:
Post a Comment