Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati alipokuwa mgeni rasmi kukabidhi
Tuzo za washindi wa mashindano ya kuhifadhi qur-aan, yaliyofanyika leo Julai
20, 2014, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi, mshindi wa pili wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an,
ambaye ni Mtanzania, Said Omary Said, wakati wa hafla ya hitimisho la
mashindano hayo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar
es Salaam, leo Julai 20, 2014. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa awamu
ya pili, Ali Hassan Mwinyi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, mshindi wa kwanza wa mashindano
ya kuhifadhi Qur-an, Hatham Sadar, kutoka nchini Kenya wakati wa hafla ya hitimisho
la mashindano hayo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
Salaam, leo Julai 20, 2014. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa awamu ya pili,
Ali Hassan Mwinyi.
Mshindi wa tatu katika mashindano hayo, Mohammed Hassan, kutoka Afrika ya Kusini, akisoma....
Mshiriki kutoka, Sudan, akisoma....
Mshiriki kutoka Tanzania, akisoma....
-Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya viongozi
wakiwa katika picha ya pamoja na washindi watatu wa mashindano hayo
baada ya kukabidhiwa zawadi zao.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya viongozi
wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mashindano hayo baada ya
kukabidhiwa zawadi zao.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya viongozi
wakiwa katika picha ya pamoja na washindi watatu na majaji wa mashindano
hayo baada ya zoezi la kukabidhi zawadi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam, wakati akiondoka
kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee baada ya kukabidhi zawadi za washindi
wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an, yaliyomalizika leo Julai 20, 2014,
jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment