SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, December 25, 2013

WATOTO WATUMIKISHWA KUJENGA UWANJA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE BILA MALIPO

Upandaji wa nyasi ukifanywa na watoto katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya
Watoto wakichukua nyasi kwa ajili ya kupanda katika uwanja wa SokoineBaadhi ya watu wakishirikiana na watoto kupanda nyasi katika uwanja wa Sokoine ambao wanadai kufanya kazi hiyo bila malipo.

0 comments:

Post a Comment