SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, December 25, 2013

Waziri Mwakyembe afanya ukaguzi wa bei za Tikeketi alfajiri maeneo ya Visiga

SAMSUNG CAMERA PICTURES
Waziri wa Uchukuzi Dr.Harrison Mwakyembe afanya ukaguzi wa tiketi kwa ilikubaini mabasi yaliyotoza gharama kubwa za nauli za kusafiria katika kipindi cha Xmass na mwaka mpya badhi ya mabasi yalikamatwa nakuamuriwa kurudisha nauli zilizozidi zoezi hilo limefanyika majira ya alfajiri Visiga mkoani Pwani na kila basi lilozidisha nauli lilitozwa faini ya shilingi laki mbili na nusu.
SAMSUNG CAMERA PICTURES
SAMSUNG CAMERA PICTURES
 
NA MO BLOG

0 comments:

Post a Comment