HAWA WALIAMUA KUKAA NA MIZIGO NA WATOTO WAKISUBIRI HATIMA YA KUENDELEA NA SAFARI.
KUNDI LA WASAFIRIKI WAKIELEKEA KWA MKUU WA WILAYA YA MOROGORO SAIDI AMANZI KWA LENGO LA KUELEZA KERO YAO.
HAPA ABIRIA WAKIPANDA TRENI HIYO KABLA YA KUANZA SAFARI YA KUELEKEA DAR ES SALAAM.
BAADHI YA ABIRIA WAKIWA WAMEKAA NDANI YA MABEHEWA YA TRENI WAKATI WAKISUBIRI KUONDOKA KATIKA STESHENI YA MOROGORO.
WAZEE, WATOTO, AKINAMAMA NA VIJANA WAKIWA NDANI YA BEHEWA LA TRENI WAKIWA HAWANA LA KUFANYA.
WASAFIRI WA SHIRIKA LA RELI NCHINI (TRC) WAKIFURAHIA KUONDOKA KATIKA STESHENI YA MOROGORO BAADA YA KUKWAMA KWA MASAA TISA KUANZIA SAA 7:45 USIKU SEPTEMBA 19/2012 KUFUATIA INJINI YA TRENI ILIYOWASAFIRISHA KUTOKA MIKOA YA BARA KUHAMISHIWA KATIKA TRENI ILIYOKUWA IKITOKEA JIJINI DAR ES SALAAM KWENDA MIKOA YA BARA KUWA NA HITILAFU KATIKA INJINI AMBAPO WALIONDOKA MKOANI MOROGORO MAJIRA YA SAA 4 ASUBUHI JUZI.
ADHA YA USAFIRI ABIRIA AKIWA NA MTOTO NA MIZIGO AKIWA HANA LA KUFANYA.
MMOJA WA WASAFIRI HAO AKIELEZA JAMBO MBELE YA WENZAKE.PICHA ZOTE NA MDAU JUMA MTANDA
0 comments:
Post a Comment