SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, May 2, 2011

SHEREHE ZA MUUNGANO ZAFANA UK

Mh. Balozi Peter Kallaghe akifungua sherehe za Muungano UK.
URBAN PULSE CREATIVE inawaletea picha za sherehe za kuadhimisha Muungano wa Tanzania na Zanzibar zilizofanyika hapa london tarehe 30.4.2011. Sherehe hii zimedhaniwa na swift Freight.
Mh. Balozi Kallaghe akiwa na Urban Pulse.
Mh. Balozi Kallaghe na mkewe wakijiandaa kufungua dansi.
Mh. Balozi akiwa na mkewe wakifungua muziki wakati sherehe za maadhimisho ya Muungano nchini Uingereza.
Maofisa kutoka ubalozini katika sherehe ya kusheherekea Muungano.
Jambo band ikitumbuiza.
Kutoka kushoto Abu Faraji akiwa na Chriss love.
Mkurugenzi wa Aseti Asha Baraka akiongea na Mama Balozi.
Wadau wakila pozi katika sherehe hizo.
Francia ambaye alikuwa akisherekea siku ya kuzaliwa katika sherehe hizo na meneja wake Shelamima.
Wakati wa kulisakata rhumba sasa.
Asanteni
URBAN PULSE CREATIVE.
Click

0 comments:

Post a Comment