SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, May 2, 2011

CHELSEA MSHINDI WA SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA 2011 MKOANI DODOMA

Captain wa timu ya mashabiki wa Madrid wakipokea ambao ni washindi wa pili akipokea kikombe wao toka kwa Mratibu wa Fiesta Soccer Bonanza 2011 .
Captain wa Chelsea akipokea kombe lao baada ya kuwatandika mkwaju mmoja wa nguvu mashabiki wa timu ya Real Madrd kwenye Uwanja wa Jamhuri-Dodoma.
Fans wa Chelsea-Dodoma wakiwa na raha isiyo kifani baada ya kuitibulia mbali record iliyotaka kuendelea kuwekwa na mashabiki wa Real Madrid.
Mashabiki wa Chelsea wakishangilia
Kiongozi wa mashabiki wa Chelsea akihojiwa.
mashabiki wa Madrid katika picha ya pamoja wakiwa na kombe.
Hatimaye mchakato mzima wa kumtafuta bingwa wa Serengeti Fiesta Soccer Bonanza 2011 jijini Dodoma ulifikia tamati ambapo Chelsea ilivuruga record iliyotaka kuwekwa na Real Madrid kwa kunyakua ubingwa huo.
Chanzo: Click

0 comments:

Post a Comment