SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, May 18, 2011

THE MAKING OF MIAKA 50 YA UHURU "TANZANIA ALL STARS"

 
AY
Shughuli nzima ya leo ilikuwa ni kukamilisha utengenezaji wa video mpya inayokwenda kwa jina la Miaka 50 ya Uhuru. Audio ya wimbo huo umetengenezwa pale Fishcrab chini ya mtu mzima Lamarvideo imetengenezwa na Adam Juma kutoka Visual Lab Next Level.
Wasanii walikuwa wengi .
Godzilla
 Mbunifu wa mitindo anayejulikana kwa jina la Vida Mahimbo, tishet zote nyeupe mnazoziona yeye na Ally ndio wamezitendea haki.
 Madee.
 Fella meneja wa Wanaume TMK Family akiwa na Mwana FA wakibadilishana mawazo.
 Kampuni ya Visual Lab ikiwa kazini.

 Dullah wa Planet Bongo nae alikuwepo na crew yake nzima kutoka EATV.
 Dully na Arafat
 Kassim Mganga
 Amin kutoka THT
 
Mr. Blue na watatu ni Shetta pamoja na Diamond
Ally Rehmtullah mbunifu wa mavazi
Mpoto na Vida
Mwana FA & Rehema

0 comments:

Post a Comment