SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, May 18, 2011

BEN PAUL MBIONI KUJIUNGA NA THT!!!

Mshindi wa tuzo ya wimbo bora wa R&B kwenye Kili Music Awards 2011, Ben Paul imeelezwa kuwa yuko mbioni kujiunga na Kundi la THT
  Ben Pol alichukua tuzo kupitia wimbo wake wa Nikikupata na alifunguka kuwa alikua THT kabla ya kupata offer toka M-Lab chini ya producer Duke na kwa sasa mkataba wake na M-Lab umekwisha baada ya kutoa album moja. 
Na kwa sasa watu waelewe kuwa Ben Paul yuko huru kufanya kazi na mtu yoyote coz hata kwenye album yake artist toka THT wamepata shavu la kufanya naye kazi.
Kila la kheri Ben Paul. 
Na G5.

0 comments:

Post a Comment