SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, March 24, 2011

RAIS KIKWETE ATEMBELEA WIZARA YA MAWASILANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi wakati akitoka makao makuu ya wizara ya Sayansi na Teknolojia jana jijini Dar es Salaam mara baada ya ziara yake ya kikazi wizarani hapo ambapo alifanya mazungumzo na wafanyakazi na viongozi na kutoa maelekezo na miongozo ya kazi.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia wananchi wakati alipowasili katika makao makuu ya Wizara ya Sayansi na Teknolojia jana jijini Dar es Salaam ambapo aliongea na wafanyakazi wa wizara hiyo.

0 comments:

Post a Comment