SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, March 25, 2011

KIKOMBE CHA BABU WA LOLIONDO CHATUA JIJINI DSM

Katika pitapita zangu mjini nilikutana na Mmasai mmoja akidai kwamba ametoka kijijini Samunge Loliondo kwa Babu wa Loliondo na kupewa vidumu vya dawa kuja kuviuza hapa mjini kwa bei ya shs 500.Katika kumuhoji sana akaniambia nijaribu kunywa na nitaona matokeo yake ndani ya muda mfupi,Hili ndio jiji bwana la Dar es salaam kila mtu anakula kivyake...........
Johari akipata kikombe cha mmasai kwa madai kwamba kimetoka loliondo
Bwana Juma Chikoka akipata kikombe

Farid uwezo akiwa ameshika kikombe
Chanzo:
http://raythegreatest.blogspot.com/

0 comments:

Post a Comment