Polisi nchini Haiti wamefunguka kuwa madai ya Rapper na Mwanaharakati, Wyclef Jean aliyedai kuwa amepigwa risasi mkononi siku ya mkesha wa Uchamkuzi mkuu nchini humo,si ya kweli. Mkuu wa Jeshi la Polisi la Haiti,Vanel Lacroix amesema kuwa Wyclef alipata majeraha baada ya kudondokewa na vipande vya kioo lakini anashangaa imekuaje amesema kuwa amepata jeraha la risasi. Mkuu huyo alifunguka zaidi na kusema “tulikutana na daktari aliyemtibu na kutuambia kuwa alikatwa na vioo na sio jeraha la risasi” na kusema story hii ni yakutengeneza tu wala “sio kweli” Inaelekea mwana alitengeneza story ili aweke attention kwa mshikaji wake,Michael Martelly ambaye pia ni mwanamuziki,aliyegombea Urais wa Haiti baada ya Wyclef kuwekewa kipingamizi na inasemekana kuwa alisaidia kifedha
Thursday, March 24, 2011
WYCLEF JEAN ALIDANGANYA KUPIGWA RISASI
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Thursday, March 24, 2011
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment