SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, August 23, 2010

ULE MTANANGE KATI YATANZANIA NA AFGHANSTAN JANA HYDERABAD INDIA UMEAHIRISHWA!!
****RAMADHAN TORNAMENT|****
KIKOSI KAZI CHA TANZANIA HYDERABAD INDIA.

Jana
 
saa mbili na nusu usiku huu ilikuwa vijana wa Tanzania waingie dimbani kupambana na timu ya Afghanistan 
katika ile fainali ya RAMADHAN TOURNAMENT katika uwanja wa  MASAB TANK Mjini hapa.
Hatimaye mechi hiyo imeahirishwa na kusogezwa mbele siku na tarehe bado haijapangwa kutokana na mvua kubwa sana iliyokuwa ikinyesha mjini hapa na kusababisha mtanange huo ushindwe kufanyika kutokana na uwanja huo kujaa maji.
Hivyo basi uongozi wa TSAH unawaomba wanajumuiya kuwa wastahimilivu hadi hapo mtapotangaziwa tena  siku na tarehe ya mechi hiyo, mnaombwa kujitokeza kwa wingi bila kukosa kuishangilia timu yenu msisahau kuja na mavuvuzela. 
 Mungu ibariki Tanzania,Watanzania TSAH,na Watu wake,Amin.
Imeandikwa na ALLY S. MGIDOS.

0 comments:

Post a Comment