MSIBA BANGALORE, INDIA
KWA
NIABA YA FAMILIA YA MAREHEMU BWANA NA BIBI MWAKALASI YA KIJITONYAMA, BW
RODRICK MWAMBENE NA BI JULIETH MWAKALASI WANAWATANGAZIA NDUGU NA JAMAA
KUWA NDUGU YAO MPENDWA, EDWIN MBONELA MWAKALASI ALIYEKUWA ANASOMA NCHINI
INDIA KATIKA CHUO CHA ACHARYA BANGALORE AMEFARIKI AGOSTI 21 BAADA YA
KUUGUA KWA MUDA MFUPI.
MWILI WA MAREHEMU UMEKWISHA WASILI NCHINI
NA IBADA YA KUMUOMBEA ITAFANYIKA NYUMBANI KWAO, KIJITONYAMA (KARIBU NA
SHULE YA MSINGI KIJITONYAMA) NA BAADAYE MAZISHI KUFANYIKA KATIKA
MAKABURI YA KINONDONI ENEO LA MWEMBENI 25 .8.2010 SAA 10.00 ALASIRI.
PIA IBADA YA HESHIMA ZA MWISHO ZITATOLEWA KUANZIA SAA 6.00 MCHANA HAPO HAPO NYUMBANI KWAO.
KWA
NIABA YA FAMILIA YA WA WAFIWA, TUNAPENDA KUTOA SHUKRANI ZA DHATI KWA
WAFUATAO AMBAO WALIJITAHIDI KUOKOA MAISHA YA MAREHEMU KWA UPANDE WA
MATIBABU MPAKA KUSAFIRISHA MWILI WAKE KUJA TANZANIA.
SHUKRANI ZA HIZO ZIENDE KWA:-
UBALOZI
WA TANZANIA NCHINI INDIA KUPITIA KWA AFISA WAKE BW. MWAMANENGE AMBAYE
PIA NI MSHAURI WA WANAFUNZI WA TANZANIA NCHINI HUMO, TANZANIA STUDENT
ASSOCIATION OF ACHARYA (TASAA) CHINI YA MWENYEKITI WAKE BW. HAMIS FUPI,
TANZANIA STUDENT ASSOCIATION OF MYSORE (TASAM), KAMPUNI ILIYOSAFIRISHA
MWILI, KUMAR AMBULANCE CO. & INTERNATIONAL, RAMAYA HOSPITAL NA NRR
HOSPITAL ZOTE ZA BANGALORE.
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA, JINA LA MBWANA LIHIMIDIWE, AMEN.
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA BW RODRICK MWAMBENE KWA SIMU NAMBA 0754 362901, 0713 362901.
0 comments:
Post a Comment