SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, June 21, 2010

KOREA DPR WALA KICHAPO CHA BAO 7 -0 DHIDI YA PORTUGAL

Hugo Almeida of Portugal (third right) celebrates scoring his 
side's third goal with team mates
Timu ya Portugal wakishangiia ushindi
    Huku mambo yakiendelea katika dimba la soka la kombe la dunia huko Afrika Mashariki ,Timu ya soka ya Portugal ilmeichapa kichapo cha mabao 7-0 timu ya North Korea katika uwanja wa Green Point Stadium in Cape Town, South Africa.
   Ikiwa ni mechi ya kundi G hapo leo.Bao la kwanza lilifungwa na mchezaji RAUL MEIRELES mnamo dakika ya 29, SIMAO aliipatia timu yake bao la pili mnamo dakika ya 53, HUGO ALMEIDA alifunga bao la tatu dakika ya 56, TIAGO wa Brazil alichangamkia mabao mawili katika dakika za 60 na 89, bao la sita lilifungwa na  LIEDSON katika dakika ya 81 na mchezaji CHRISTIANO RONALDO aliipatia timu yake bao la saba katika dakika ya 87.
   Katika mtanange huo mchezaji wa timu ya PORTUGAL Christiano Ronaldo alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mechi hiyo. 

Na Ally S.Mgido's.

0 comments:

Post a Comment