Mkulo katika
mkutano wa ECOSOC NewYork leo
WAZIRI WA FEDHA AKICHANGIA MJADALA KISERA KUHUSU
WAJIBIKAJI NA UWAZI KATIKA USHIRIKIANO WA MAENDELEO; NAMNA YA KUJENGA
USHIRIKIANO ULIO SAWA MIONGONI MWA WADAU MBALIMBALI. MJADALA HUO
UMEFANYIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA MATAIFA JIJINI NEW YORK.NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI, DK. SERVACIUS LIKWELILE AKIFUATILIA MAJADILIANO
WAZIRI MKULO AKIBADILISHANA MAWAZO NA WAJUMBE MBALIMBALI WA KIKAO CHA KILELE CHA KAMATI YA UCHUMI NA MAENDELEO YA JAMII YA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA( ECOSOC). Kwa habari zaidi bofya: http://issamichuzi.blogspot.com/
0 comments:
Post a Comment