Kitukuu wa Nelson Mandela Zenani
Mandela amefariki dunia.
Afisi ya uhusiano mema katika wakfu wa Nelson
Mandela imesema kuwa msichana huyo wa miaka 13 alifariki katika ajali ya
barabarani iliyompata hapo jana akiwa njiani kutoka sherehe za mkesha
wa kombe la dunia mjini Soweto.
Duru za polisi zimesema uwa dereva
aliyesababisha ajali hiyo amekamatwa.
Huku hayo yakiarifiwa, mechi ya kwanza kabisa ya
kombe la dunia kuwahi kufanyika barani Afrika inatazamiwa kuanza wakati
wowote kati ya wenyeji Afrika Kusini na Mexico.
Timu 32 zinachuana kuwania kombe hilo baada ya
mwezi mmoja na aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela
anatarajiwa kuhudhuria sherehe ya ufunguzi leo jioni.
BBC SWAHILI
Organising Committee expresses its condolences to the Mandela Family
Johannesburg, 11 June 2010 -
The 2010 FIFA World Cup Organising Committee South Africa (OC) is
saddened to learn of the death of Zenani Mandela, who was killed in a
car accident last night. Zenani Mandela (13 years old) is the
great-grand-daughter of Nelson Mandela, South Africa’s first democratic
President.
“On behalf of everyone at the
Organising Committee, I would like to express my condolences to the
Mandela family. Please know that you will all be in our thoughts today,”
said OC Chairman Dr Irvin Khoza.
“Last
year Zenani did us the honour of bringing the FIFA Confederations Cup
trophy out onto the podium at the final at Ellis Park on 28 June. We are
saddened to hear of her tragic passing and will remember her fondly,”
said OC CEO Dr Danny Jordaan.
fifa.com
0 comments:
Post a Comment