SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, June 28, 2010

Argentina wawacharaza 3-1 Mexico


Argentina Kocha mkuu Diego
Maradona akishangilia ushindi dhidi yaMexico na Carlos Tevez. 
    Mexico nayo imeaga mashindano hayo baada ya kuchapwa na Argentina kwa magoli matatu kwa moja, huku ikilalamikia uamuzi wa kutia shaka baada ya mwamuzi kuruhusu goli lililofungwa na Gonzalo Higuan ambaye alikuwa ameotea. 
    Magoli mengine ya Argentina yalifungwa na Carlos Tevez ambaye alikuwa nyota wa mchezo huyo, na lile la Mexico lilifungwa na Javier Hernandez. Kwa mtaji huo Argentina na Ujerumani zitakutana kwenye hatua ya robo fainali.
    Kocha Maradona kama kawaida yake alijitapa kwa maneno haya ya kizungu
“We’re not here on vacation, we came here to leave everything so that the Argentines can be proud of us,”
Carlos Tevez

0 comments:

Post a Comment