Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil
(kushoto)akimpokea Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Mariam Ntunguja
ambaye alikuwa mgeni rasmi katika Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi cha siku tatu kinachofanyika katika
Hoteli ya Paradise jijini Mbeya. Katika Hotuba yake ya ufunguzi,
Ntunguja aliwaomba watendaji wakuu wa wizara hiyo washirikiane vizuri na
watumishi wao ili kuleta mafanikio zaidi ndani ya wizara hiyo. Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Showing posts with label KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI. Show all posts
Showing posts with label KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI. Show all posts



