
Rais Magufuli akiwa anaingia uwanjani mjini Dodoma tayari kwa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani;https://youtu.be/gpbwkY9yA0Y
Waziri
anayeshughulikia masuala ya ajira Jenista Mhagama akitoa salamu zake
kwa wageni na wananchi mkoani Dodoma kwenye Kilele cha maadhimisho ya
mei mosi; https://youtu.be/deM3lUA3W1A
Rais
Magufuli, Wageni waalikwa na wananchi kwa ujumla waliohudhuria
maadhimisho ya mei mosi wakiimba wimbowa taifa ukifuatiwa na utambulisho
kwa wageni mashuhuri; https://youtu.be/Q1AUAQcDw2k
Rais
Magufuli amesema idadi ya watumishi na madeni hewa yanavyozidi
kuongezeka nchini yanamsikitisha sana na wakati mwingine anajutia hata
kwanini aliomba urais; https://youtu.be/FmM-TGwDZ4Q
Washindi mbalimbali wa vikundi vya michezo wakipokea zawadi zao mbele ya mgeni rasmi Rais Magufuli; https://youtu.be/-hmoNX-j9wg
Tazama burudani kutoka kwa wagogo wakitumbuiza kwenye maadhimisho ya mei mosi mkoani Dodoma; https://youtu.be/-gqxO7N2XDM
0 comments:
Post a Comment