Shukrani za Pekee Kwa Mwenyezi Mungu kwa Kutuwezesha Watu wa MATUKIO kufanikisha TUKIO hili la Upendo kwa WATOTO YATIMA, Pasaka yetu hakika imekuwa Njema saana TUMEKULA, TUMECHEZA na KUOGELEA Pamoja na WATOTO YATIMA WA KITUO CHA AMANI. Ikumbukwe:Watu wa MATUKIO na WATOTO yatima ni Damu Moja.
Monday, March 28, 2016
WATU WA MATUKIO WASHEREKEA SIKUKUU YA PASAKA NA WATOTO YATIMA
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Monday, March 28, 2016
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment