SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, February 27, 2016

MWANAMUZIKI WA ZAMANI KASSIM MAPILI AZIKWA JANA JIJINI DAR

map1
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiweka udogo kwenye kaburi la Mwanamuziki mkongwe hapa nchini, Mzee Kassim Said Mapili, wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam jana.

map2
Mwili wa mwanamuziki mkongwe hapa nchini, Mzee Kassim Said Mapili ukiwasili kwenye makabuli ya Kisutu, jijini Dar es Salaam jana.
map3
Mwili wa mwanamziki mkongwe hapa nchini, Kassim Said Mapili ukiwekwa katika kabuli wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye makabuli ya Kisutu, jijini Dar es Salaam jana.
map4
Waombolezaji waliofika kumsindikiza kwenye nyumba ya milele  Mzee Kassim Said Mapili, wakipata mawaidha baada ya mazishi.(P.T)

  Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akimfariji mtoto wa marehemu

  Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akimfariji mtoto wa marehemu

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akipeana mikono na mwanamuziki mkongwe Mjusi Semboja huku akiongea na Mzee Makassy na wanamuziki wengine

 Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiongea na mchambuzi wa muziki wa dansi mahiri Zomboko na mdau wa muziki Hassan.
(PICHA KWA HISANI YA MICHUZI BLOG)

0 comments:

Post a Comment