SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, February 27, 2016

Mkurugenzi wa Mipango wa Wizara ya Fedha, atembelea taasisi ya UTT-PID Jijini Dar

CEO4
Mkurugenzi wa Mipango wa Wizara ya Fedha na Mipango,  Bw. Richard Mkumbo na timu yake wamepata kutembelea Taasisi ya Serikali ya Miradi na Manedeleo ya Miundombinu UTT-PID, Jijini Dar es Salaam mapema jana na kufanya mazungumzo na uomgozi huo wa taasisi hiyo.

Afisa Mtenaji Mkuu wa Taasisi ya Serikali ya Miradi na Manedeleo ya Miundombinu UTT-PID, Dkt. Gration  Kamugisha (kulia), akimkaribisha Mkurugenzi wa Mipango, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Richard Mkumbo, wakati mkurugenzi huyo na tmu yake walipotembelea taasisi hiyo jijini Dar es Salaam jana, kwa lengo la kujua maendeleo ya taasisi na changamoto wanazokabiliana nazo ili kutafuta ufumbuzi wa kuzishughulikia changamoto hizo.
Mkurugenzi wa Mipango, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Richard Mkumbo, akifafanua jambo wakati wa mkutano huo   
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Serikali ya Miradi na Manedeleo ya Miundombinu UTT-PID, Dkt. Gration  Kamugisha(aliyesimama kushoto), akielezea mafanikio ya taasisi hiyo na changamoto inayokabiliana nazo wakati timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango ilipotembelea taasisi hiyo.
Kaimu Mkuu wa Masuala ya kampuni (Head of Corporate Affairs), Eugenia Simon, (katikati), akizungmza huku Mkurugenzi wa Mipango wa wizara ya Fedha na Mipango, Richard Mkumbo, (kulia) na Mkuu wa kitengo cha usimamizi wa miradi, Joyce Mcharo
Msabaha A. Msabaha (kulia), Afisa mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, aliyefuatana na Mkurugenzi wa Mipango Richard Mkumbo, akizungumza kwenye kikao hicho. Kushoto ni Afisa Mwingine mwanadamizi kutoka wizara hiyo, Masoud Ridhiwani
Mkuu wa Kitengo cha Sheria, UTT-PID, Tuzo Mpiluka, akifafanua jambo, huku Dkt. Kamugisha (kushoto) na Mkuu wa kitengo cha usimamizi wa miradi, Joyce Mcharo
Mkuu wa kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi cha UTT-PID, Milton Shango, (kulia), akizungumza kwenye kikao hicho.
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 600w" alt="utt-pid 2" width="702" height="295" />
Mkuu wa kitengo cha usimamizi wa miradi, Joyce Mcharo akifafanua jambo katika mkutano huo..
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Serikali ya Miradi na Manedeleo ya Miundombinu UTT-PID, Dkt. Gration  Kamugisha(aliyesimama kushoto), akielezea mafanikio ya taasisi hiyo na changamoto inayokabiliana nazo wakati timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango ilipotembelea taasisi hiyo.
Mkurugenzi wa Mipango, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Richard Mkumbo, akifafanua jambo wakati wa mkutano huo

0 comments:

Post a Comment